Psalms 89:35-37


35 aMara moja na kwa milele, nimeapa kwa utakatifu wangu,
nami sitamdanganya Daudi:

36 bkwamba uzao wake utaendelea milele,
na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua;

37 ckitaimarishwa milele kama mwezi,
shahidi mwaminifu angani.”

Copyright information for SwhKC